Friday 4 July 2014

UJERUMANI YAFUZU NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

Timu ya Taifa ya Ujerumani imefanikiwa kutinga nusu fainali baada ya kuichapa Ufaransa kwa bao 1 kwa bila, mchezo uliomalizika hivi punde
Mats Hummels aliyefunga goli lililoipeleka Ujerumani Nusu Fainali

No comments:

Post a Comment

Maoni yako