Wakati tukiwa tunawapongeza maafande wetu hodari kwa kukabiliana na majambazi pale Kariakoo jana, leo inabidi tuangalie picha hii hapa chini kwa muono tofauti kidogo.
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako