Tulianzia hapa kwenye Motorola 8500X tukiwa na simcard/line ya Mobitel au Tritel Kwa sasa tupo hapa kwenye Motorola Razr na simcard/line zetu za Vodacom, Zantel, Tigo na Zain Au pengine hapa kwenye Samsung Au pengine kwenye hii NOKIA
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako