Wakati mwingine tunaweza kusoma maandishi yaliyopo kwenye katuni kwa juu juu bila kuangalia hasa ujumbe katuni hiyo iliyobeba. Katuni hii ina ujumbe mzito, Mwanablog hebu soma tena uupate.
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako