Inafurahisha na kutia moyo sana kwa namna ambavyo vijana wengi wanajishughulisha na kazi kupata riziki za kila siku. Vijana wengi wanafanya kazi ngumu na katika mazingira magumu, lakini jitihada zao zinabarikiwa. Hongereni na poleni kwa kazi.
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako