Uzalendo umenishinda, imenibidi nimsifie hadharani Kijana mwenzangu wa nyumbani kwa kufaulu vyema. Hongera sana na Asante kwa kutuwakilisha vyema wanaSIHA na KYENGIA-KILIMANJARO "double click" picha kukuza maandishi
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako