Mhe.RAIS KIKWETE(TZ) AKUTANA NA Mhe. RAIS OBAMA (USA)
JK akipokewa na mwenyeji wake Rais Obama wa Marekani katika Ikulu ya White House.JK ni kiongozi wa kwanza wa Afrika kuingia humo tangu Mhe.Obama achukue nchi mwezi Februari mwaka huu. Picha kwa hisani ya MichuziJr/Jiachie
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako