Rais mpya wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma akila kiapo cha urais, anachukua madaraka toka kwa Mhe Thabo Mbeki. Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Rais wetu Mhe. J.M. Kikwete
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako