Tunapowapongeza warembo wetu kwa namna wanavyojitahidi katika suala la urembo, sio vibaya pia tukijikumbusha uhalisia wa sura zetu za kiafrika. Wanablog hebu tazameni wenyewe tofauti kubwa ionekanayo kati ya mwonekano wa uso na mikono Hawa pia ni Mamiss wetu lakini katika sura zao halisia, nadhani wanapendeza pia, tena zaidi hahahahhaaa
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako