Mie binafsi nawapongeza wasanii wa muziki, Diamond Platnumz na AliKiba kwa kutoa msaada wa tsh 41milioni kwa ‘GSM Foundation’ ili kusaidia jitihada za taasisi hiyo za upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi.
BASATA Yashukuru DCEA kwa Kurejesha Afya ya Chid Benz
34 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako