Friday 12 August 2016

MWENYEKITI MPYA WA CCM TAIFA MHE DKT MAGUFULI APOKELEWA DAR KWA SHANGWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ndio mwenyekiti mpya wa CCM baada ya uchaguzi ulofanyika mwishoni Julai huko Dodoma, amerudi Dar na kupokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere
Kama kawaida yake kushiriki furaha na wananchi wake kwa kupiga ngoma

No comments:

Post a Comment

Maoni yako