Thursday 4 August 2016

KATUNI: KITUMBUA KIMEINGIA MCHANGA

Katika maisha ya mahusiano ya mke na mume au hata ya wapenzi wanaotarajia kufunga ndoa, UKWELI na UAMINIFU ni nguzo muhimu sana.
Ila wengine wamefikia kudharau Ndoa na mapenzi ya kweli hadi kwenye khanga wameandika.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako