Tuesday 2 August 2016

MSANII JOKATE MWEGELO AWAJENGEA UWANJA WA KIKAPU NA PETE SHULE YA WASICHANA JANGWANI


Uwanja huo ambao umejengwa kwa gharama ya sh.Milioni 50 kupitia Kampeni ya "Be Kidotified" ya Kampuni ya Kidoti, ulikabidhiwa shuleni hapo na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sophia Mjema
Mrembo Jokate akitoa neno katika makabidhiano hayo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akifunga goli wakati wa uzinduzi wa
uwanja wa Netiboli na Mpira wa Kikapu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani
uliojengwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti, Jokate Mwegelo
kupitia kampeni yake ya “Be Kidotified”. Mjema alizindua uwanja huo leo
katika hafla fupi iliyofanyika katika shule hiyo.Kushoto ni Jokate
akishuhudia tukio hilo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako