Wednesday 10 August 2016

TAMBUA NAFASI YA ALLAH/MOLA/MWENYEZI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO

Unapokuwa unamaliza visigino kwa safari za umbea au kila kukicha ni wewe kufunga safari kwenda kutenda yanayomchukiza aliyekuumba,kumbuka kuna wengine hawana hiyo miguu au ni vilema na wanajitahidi kumtukuza muumba wao
Pamoja na kutokuwa na miguu wala mikono anatabasamu akimshukuru Mungu kwa yote.

1 comment:

  1. Hii ni ngumu sana kwa wengi wetu kufikiria. Maana tungekuwa tunafikiria hakika tusingekuwa tukifanya tufanyavyo....Ahsante kwa ujumbe murwa.

    ReplyDelete

Maoni yako