Tuesday 2 August 2016

ONLY IN TANZANIA: MWANANCHI AMTUZA MHE RAIS MAGUFULI SH.1,000

Wananchi wa Igunga Mkoani Tabora walilipuka kwa furaha na mzee huyu akatoa noti ya shilingi 10,000/- akitaka kumtuza Rais Dkt Magufuli kwa kuweza kutatua changamoto za stendi ya mabasi ya abiria na soko jipya zinazoikabili wilaya ya Igunga wakati wa mkutano wake wa hadhara mjini Igunga Jumamosi Julai 30, 2016.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako