Monday 1 August 2016

MHE WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA SABASABA HUKO MOROGORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva wakati alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Monyesho ya Wakulima Nane mjini Morogoro Agosti 1, 2016, Kushoto ni mkewe Mary Majaliwa

No comments:

Post a Comment

Maoni yako