Thursday 11 August 2016

GAZETI LA MSETO LAFUNGIWA MIAKA 3 KWA KUKIUKA MAADILI YA UANDISHI

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu kulifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36 leo Agosti 11,2016 katika ukumbi wa Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam.
Na huu ndo ukurasa ulowasibu

No comments:

Post a Comment

Maoni yako