Monday 8 February 2016

SHERIA MSUMENO: MAWAZIRI 2 WA AWAMU YA RAIS MKAPA WAANZA KIFUNGO CHA NJE;KUFANYA USAFI

Mawaziri wa Serikali ya AWAMU ya Tatu Mramba na Yona walipowasili leo Hospitali ya Palestine kuanza usafi wa mazingira kama part ya adhabu yao ya kifungo cha nje leo
Yona, Mramba wakabidhiwa vifaa vya usafi hospitali ya Palestina.
Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona wameripoti katika hospitali ya Sinza Palestina na kukabidhiwa vifaa kwa ajili ya kufanya usafi.
Wakati huo huo,
Aliyekuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba, ameishauri Serikali kuhakikisha inawatumia wafungwa kutumikia jamii badala ya kuwarundika magerezani

No comments:

Post a Comment

Maoni yako