Friday 12 February 2016

KIZAAZAA CHA MV:MAGOGONI HAPO JANA

Hali ya taharuki ilijitokeya jana baada ya Kivuko cha Mv.Magogoni kupata hitilafu kikiwa majini.
Hata hivyo hakikusababisha ajali. Na abiria wote walitoka salama.
Ila nakuwekea hii picha nyingine hapa chini nikiwa na maoni binafsi. Wakati wenzetu walopatwa na msukosuko huo wa Kivuko kuingia maji, wapo wengine wamekazania kuchukua 'selfie' au taswira za tukio bila kutoa msaada wowote kwa waadhirika. Ni muhimu kutambua nafasi ya binadamu na kuwasaidia na sio kuchukua tu taswira.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako