Saturday 13 February 2016

BOMOA BOMOA YAHAMIA SINZA

Huku Sinza ni vilio na taharuki. Serikali inaweka X kwenye maeneo ya wazi ambayo watu wamejenga nyumba za makazi au Biashara kwa kuvamia bila vibali

No comments:

Post a Comment

Maoni yako