Monday 8 February 2016

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AMJULIA HALI MUFTI MKUU HOSPITALINI

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry aliyelazwa kwa matibabu katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Masaju pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi leo Jumatatu February 8, 2016.
nimependa mavazi alovaa mke wa Rais kwani zanaonyesha heshima kubwa kwa Kiongozi huyo wa kidini nchini.
Baadae pia Mhe Waziri Mkuu Majaliwa Kassim alifika kumtembelea na kumtakia afya njema

No comments:

Post a Comment

Maoni yako