Thursday 4 February 2016

MHE.RAIS MAGUFULI AHUTUBIA SIKU YA SHERIA DUNIANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Mahakimu na Majaji wa Mahakama ya Tanzania kufanya kazi kwa kuzingatia weledi wa taaluma ya Sheria katika kushughulikia mashauri yanayopelekwa Mahakamani. Aidha amewataka Majaji na Mahakimu kutoa hukumu za mashauri yanayowasilishwa Mahakamani kwa haraka ili kuwasidia wananchi wanaotafuta haki.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako