Friday 4 July 2014

WACHEZAJI WA UJERUMANI WAUGUA

Habari zinasema kuwa wachezaji 7 wa Timu ya Ujerumani wameugua Mafua na koo ghafla huko Brazil ikiwa ni siku moja kabla ya mechi yao na Ufaransa hapo kesho

No comments:

Post a Comment

Maoni yako