Kampuni kubwa ya Hilton na Double Tree by Hilton imetangaza kufungua Hoteli Mpya ya kisasa ya vyumba 58 huko StoneTown Zanzibar. Tayari wana Hotel ya Double Tree by Hilton Dar es Salaam eneo la Msasani karibu na The Slipway.
WAZIRI KOMBO AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA JAPAN
2 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako