Sunday 13 July 2014

JEZI MPYA ZA ARSENAL 2014/2015

Baada ya kuingia mkataba na Kampuni ya Puma, Arsenal inayoongozwa na Arsene Wenger wametambulisha jezi zao watakazotumia msimu huu kwa mechi za nyumbani na ugenini

No comments:

Post a Comment

Maoni yako