Sunday 6 July 2014

KWA USAFIRI WA UHAKIKA DAR/DODOMA/DAR

Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Shabiby ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa wa mabasi ya Shabiby, anatarajia kuanzisha safari mpya ya mabasi yake ya kisasa kutoka Singida/Dar/Singida. Hali hii imewatia hofu wadau wenzake wa usafirishaji wa abiria maana Mabasi yake yanapendwa sana na wasafiri.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako