Saturday 5 July 2014

BRAZILI KUKUTANA NA UJERUMANI NUSU FAINALI

Timu ya Brazil imefanikiwa kuingia nusu fainali kombe la Dunia baada ya kuifunga Columbia 2-1 katika mchezo wa kufurahisha ulomalizika hivi punde. Magoli yote ya Brazili yalifungwa na Mabeki wa Timu hiyo kwa mtira wa kona na adhabu ndogo.
Mashabiki wa brazili

No comments:

Post a Comment

Maoni yako