Wednesday 9 July 2014

NETHERLANDS VS ARGENTINA LEO

Mpaka sasa ni dakika tisini zimeisha hakuna alieona lango la mwenzake. Zinaongezwa dakika 30
01:35am Dakika 30 za nyongeza zimeisha ikiwa ni bila kwa bila. Timu zote zinajiandaa kupiga penati kupata mshindi.
Robben wa Netherlands akijaribu kuwatoka wachezaji wa Argentina bila mafanikio.


No comments:

Post a Comment

Maoni yako