Monday 14 July 2014

UJERUMANI MABINGWA KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014

Golikipa wa Argentina akiruka bila manufaa kuzuia mpira ulopigwa na Gotze kuipa ushindi Ujerumani
Mario Gotze akiifungia Ujerumani bao la ushindi dhidi ya Argentina


No comments:

Post a Comment

Maoni yako