Saturday 12 July 2014

MSHINDI WATATU KOMBE LA DUNIA LEO

Timu za Brazili na Uholanzi,leo zinaingia uwanjani kutafuta mshindi wa tatu wa Kombe la Dunia 2014. Mechi hiyo itaanza saa 5usiku Afrika Mashariki katika uwanja uitwao Estadio do Maracana,huko Rio de Janeiro Brazili.Brazili wanawania nafasi hii baada ya kipigo cha bao 7-1 dhidi ya Ujerumani katika mechi ya nusu Fainali.Nao Uholanzi walitolewa kwa mikwaju ya Penati na Argentina

No comments:

Post a Comment

Maoni yako