Picha hii inanikumbusha sana "enzi za Mwalimu" ambapo wadau wa wakati ule walikuwa wakijimwagamwaga sehemu hizo maarufu. "Mwafrika Bar" ilikuwepo kila eneo la nchi. Siku hizi mmmmm utaambiwa twaenda "Mango Garden, Coco Beach, Msasani Club, Friends Corner tukawaone Twanga Pepeta n.k. Zile Mwafrika Bar na kina Masantula wao ziko wapi tena?
Bilioni 75.4 Zatikisa Arusha DC, Wanafunzi 20,000 Kunufaika
31 minutes ago
Ni kweli sasa ni wikiend labda hapo patafaa:-)
ReplyDelete