Sunday 12 July 2009

IRENE UWOYA SASA MKE WA MTU

Tangu jana Irene Uwoya amechukuliwa jumla na kihalali na Mchezaji maarufu wa kimataifa Bw.Ndikumana.(Pichani)Mr. & Mrs Ndikumana wakivishana pete za ndoa katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar-es-salaam jana, Picha zaidi baadae kwa ruhusa ya wandoa hao
Hakuna cha Benzi wala Limmousinne, usafiri simple tu
Mwendo kwa Ngamia, mke mbele, bwana nyuma juu ya ngamia.

Picha kwa hisani ya Global Publishers

4 comments:

  1. Hongereni sana wanaharusi au niseme mke na mume na nawatakia maisha mema katika ndoa yenu.

    ReplyDelete
  2. Kila la heri Irene Mungu aibariki ndoa yenu

    ReplyDelete
  3. i wish u irene a gud lucky with ur husband and gud life and also i want 2 be a kind women
    byeeee

    ReplyDelete

Maoni yako