Sunday 5 July 2009

TAFAKARI YA LEO

Wadau nawatakieni jumapili njema na mapumziko memaKuna maswali mengine yasiyoweza kujibiwa na "Google", hii ikiwa inamaanisha Mungu ndio majibu ya maswali yote.Sijui unasemaje wewe mdau

1 comment:

Maoni yako