Monday 27 July 2009

AJALI TENA



Zaidi ya watu 28 wamepoteza maisha
Kwa bahati mbaya wiki inaanza kwa taarifa kuwa kuna ajali mbaya imetokea usiku huu huko Korogwe na kuhusisha basi la abiria la Mohamed Trans na Lori lamizigo. Inahofiwa takriban watu 20 wamepoteza maisha. Bado blog yako inafuatilia na itakuletea nyepesinyepesi mara zikipatikana. Poleni jamani.

1 comment:

  1. Napenda kutoa pole kwa wafiwa wote. Pole sana. Na marehemu wapumzike kwa amani peponi amina.

    ReplyDelete

Maoni yako