Sunday 12 July 2009

BEI YA NYAMA YAPANDA

Athumani Shabani ambaye ni mfanyabiashara ya nyama katika soko la Buguruni akikata nyama kwa ajili ya kumhudumia mteja wake. Hivi sasa vyama imepanda bei kiasi cha kuwafanya walaji kushindwa kumudu, kilo moja ya ni 3800 hadi 4000. Athumani amelalamikia mamlaka husika kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei.

"Sasa kama bei ya nyama imepanda na mie nilivyo kibonge hivi si ndo nitakwisha kabisa,maana ukibonge wangu wategemea sana nyama hasa 'beef'"

1 comment:

  1. Kazi kwelikweli inabidi tuache kula nyma na kuanza kula matembele....lol

    ReplyDelete

Maoni yako