Majambazi yaliyo na Silaha na mabomu ya kurusha kwa mkono leo asubuhi majina ya saa 5:20 walivamia Benki ya NMB tawi la Temeke na kupora kiasi kikubwa cha fedha. Pia yaliua mlinzi mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi na kujeruhi wengine 13 wakiwamo askari Polisi wawili.
MCHUNGAJI MUTURI: KANISA LISIHUSIKE NA SIASA
1 hour ago
hawa akina ras makunja wanafanya nini? na magitaa yao?
ReplyDelete