Wednesday 29 July 2009

JIJI LA MWANZA LAZIDI KUPENDEZA

Mandhari ya jiji la Mwanza inazidi kupendeza hasa baada ya mwanza kuwa Jiji. Ni eneo lililokaa sehemu nzuri ukingoni mwa Ziwa Victoria na hivyo kuipa Mwanza mandhari murua ya kubarizi na maisha kwa ujumla. Tuzidi kuboresha na kutunza mazingira hayo.

1 comment:

  1. Kwa mbali kweli kunapendeza. Sijawahi fika Mwanza ipo siku:-)

    ReplyDelete

Maoni yako