Monday 6 July 2009

MAISHA JAMANI?

Hii ni asubuhi tu, mtu unapofikiria kwenda kazini,shuleni au katika mishughuliko mingine ya maisha, kuna linalosumbua kichwani "Usafiri". Hii ni zaidi katika Jiji la Dar. Ni tatizo la muda mrefu na hadi linaleta aibu na kuharibu taratibu za maisha kabisa, mtu kula msosi mkubwa namna hiyo asubuhi, tena na huu uchumi kuyumba ndo balaa.
NAWATAKIENI WADAU WOTE WIKI NJEMA

1 comment:

  1. Ni kweli usafiri Dar kazi kwelikwel. Ningekuwa rais ningetoa daladala zote na kuweka mabasi mengi makubwa kwani sasa daladala zimekuwa kama utitiri.

    ReplyDelete

Maoni yako