Monday 6 July 2009

WATOTO WETU WAKITAFUTA MAISHA BORA

Siku baada ya siku maisha yanazidi kuwa magumu, kila mmoja anajaribu kuangalia afanye nini kuboresha maisha. Watoto hawa ambao ni taifa la kesho wanaonekana wakifanya kazi hii kuboresha maisha, lakini ni wakati wao sahihi kuhusika katika kazi kama hii ambayo kwa mtazamo wa harakaharaka ni nzito??? Ila ndio maisha ya walio wengi kwa sasa japo yanaumiza sana.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako