Tuesday 7 July 2009

AJALI SINZA


Ajali mbaya imetokea leo alfajiri katika maeneo ya Sinza, Kamanyola. Inasemekana kuwa ajali hiyo imetokea baada ya dereva aliyekuwa akiendesha gari lililopata ajari (Pichani) alipojaribu kulipita gari la mbele yake (Picah haikuweza kupatikana) huku kwa mbele kulikuwa na gari jingine iliyokuwa ikija kutokea Mwenge, kutokana na ufinyu wa barabara kwa mahali hapo kwani kulikuwa ni katikati ya daraja dereva wa gari iliyopata ajari hakuwa na jinsi bali kutumbukia daraji kama mnavyoona pichani.

4 comments:

  1. Inasikitisha na Pole kwa wahathirika!:-(

    ReplyDelete
  2. Ni kweli inasikitisha natumaini dereva hakuwa amelewa:-(

    ReplyDelete
  3. Asanteni kwa maoni na kuonyesha sikitiko kwa ajali hiyo. Tuombe Mungu aepushe ajali na vifo vya ajali nyumbani maana watu wengi wanateketea.

    ReplyDelete

Maoni yako