Polisi Mkoani Kilimanjaro imewanasa watu walokuwa na shehena ya Mirungi na misokoto ya Bangi wakiisafirisha kutoka nchi jirani ya Kenya kuingiza Arusha Tanzania. Tazama walivyojipack utadhani mabomu ya kujitoa muhanga
SERIKALI YAZINDUA 'UGHAIBUNI LOAN
12 hours ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako