Saturday 9 April 2016

CHEKA UNENEPE

Mtoto anamwita Baba yake na kumuuliza, "Baba mbona vitenesi hivi havidundi kama vya mtoto wa Mzee Chogo?" Utamjibu au kumfanya nini ikiwa wewe ndo mzazi?
FUNDISHO: Tujitahidi kuwaelekeza watoto

No comments:

Post a Comment

Maoni yako