Wednesday 6 April 2016

HUKU NI KUKAIDI AGIZO LA MHE. RAIS MAGUFULI

Dada huyu anayefahamika kwa jina la Aunty Lulu anaonekana eneo la Baa akivuta sigara na kunywa Bia majira ya asubuhi ambapo mhes, Rais alisisitiza watu wafanye kazi mida kama hii.
(picha kwa hisani ya Global Publishers)

No comments:

Post a Comment

Maoni yako