Wednesday 13 April 2016

UMUHIMU WA VIONGOZI KUWA NA HOFU YA "MUNGU"/"ALLAH"

Eti unajifanya Star halafu hauna hofu ya Mungu ndani yako wala nyumba ya ibada huijui. Siku shida zikianza kukuandama ndo unalikumbuka jina lake na kulitaja kila mara.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako