Friday 1 April 2016

MHE RAIS MAGUFULI ATOA NENO KUHUSU MISAADA KWA TANZANIA

"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia" - Rais Magufuli

No comments:

Post a Comment

Maoni yako