Mwalimu Nyerere alikuwa mpenzi sana wa Soka la Tanzania, hadi pale mwaka 1972 Timu ya Soka ya Tanzania ilipoingia uwanjani bila tshirt na kukaguliwa na kusalimiana na Rais wa Sudan Mhe. Jaffar Mohammad el Nimeiry. Tangu siku hiyo akapoteza moyo wa kuwa shabiki mzuri wa Soka kwa kufedheheshwa na tukio lile
SALAMU ZA MWAKA MPYA 2026 KUTOKA KWA-DKT AKWILAPO
21 minutes ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako