Friday 1 April 2016

MPE MAKSI KONDAKTA WA DALADALA MTANASHATI WA KWANZA TANZANIA

UNADHIFU KAZINI: Kondakta wa Daladala ( Mwenge-Posta) ambaye hatukufanikiwa kupata jina lake mara moja akiwa amevaa 'smart' jambo ambalo ni nadra sana kuonekana kwa makondakta wengi wa Daladala. Picha na Saumu Mwalimu

No comments:

Post a Comment

Maoni yako