Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck yupo nchini kwa ziara ya siku Tano.
Akisalimiana na Askofu Dk.Malasusa wa KKKT alipotembelea kanisa la Azania Front Dar es Salaam
Akisalimiana na Mhe,Rais Kikwete baada ya kuwasili viwanja vya Ikulu-Dar
Nyimbo za Taifa za mataifa haya mawili Ujerumani na Tanzania zikiimbwa
Akikagua gwaride la heshima
Ujumbe wa Rais wa Ujerumani kwa Rais wa Tanzania
KARMA YA UONGOZI: SOMO KWA WANAOHAMASISHA MAANDAMANO
11 hours ago




No comments:
Post a Comment
Maoni yako