Diamond Platnumz sasa aingia katika hatua nyingine ya mapenzi. Bada ya kumwagana na Wema Sepetu kwa mara ya pili, sasa habari za uhakika zinasema ndo tayari kashajipatia huyu Boss Lady Zari.
Hii yaelekea ni maandalizi ya Video yake mpya
Hapa Diamond akiwa kwenye usafiri wa Baiskeli wakati Zari akiwa kwenye gari la kifahari. Kulikoni au ndo Mahaba niue....
Hapa Diamond na mwanaProject mwenzie Zari wakiwasili Songea kwa ndege ya kukodi kwa ajili ya kutumbuiza katika maadhimisho ya sherehe za kuzaliwa CCM
Wapeni watoto wenu mlo wa asubuhi kabla ya kwenda shule
30 minutes ago




No comments:
Post a Comment
Maoni yako