Ujasiriamali popote vyovyote. We shangaa tu mwenzio anajipatia kipato na kukidhi maisha yake. Maisha yanasonga mbele.
Kujituma kwa wanawake kama hawa kunapaswa kuungwa mkono na hata kusaidiwa kurahisisha maisha yao kutokana na juhudi zao
Wapeni watoto wenu mlo wa asubuhi kabla ya kwenda shule
28 minutes ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako